Kutoka 6:1
Kutoka 6:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Mwenyezi-Mungu akamjibu Mose, “Sasa utaona jinsi nitakavyomtenda Farao; maana kwa nguvu atalazimika kuwaacha watu wangu watoke. Naam, kwa nguvu atawafukuza waondoke nchini mwake.”
Shirikisha
Soma Kutoka 6Kutoka 6:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamwambia Musa, Sasa utaona nitakavyomtenda Farao; maana kwa mkono hodari atawapa ruhusa kwenda zao, na kwa mkono hodari atawafukuza katika nchi yake.
Shirikisha
Soma Kutoka 6