Kutoka 7:5
Kutoka 7:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati nitakapounyosha mkono wangu dhidi ya nchi ya Misri na kuwatoa Waisraeli miongoni mwao. Ndipo Wamisri watakapotambua kwamba mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.”
Shirikisha
Soma Kutoka 7Kutoka 7:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na Wamisri watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, hapo nitakapounyosha mkono wangu juu ya Misri na kuwatoa wana wa Israeli watoke kati yao.
Shirikisha
Soma Kutoka 7