Kutoka 8:24
Kutoka 8:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akafanya; wakaja inzi wengi kwa uzito sana, wakaingia nyumbani mwa Farao, na katika nyumba za watumishi wake, tena katika nchi yote ya Misri; nayo nchi iliharibiwa na wale inzi.
Shirikisha
Soma Kutoka 8Kutoka 8:24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
BWANA akafanya; wakaja wingi wa mainzi kwa uzito sana, wakaingia nyumbani mwa Farao, na katika nyumba za watumishi wake, tena katika nchi yote ya Misri; nayo nchi iliharibiwa kwa ajili ya wale mainzi.
Shirikisha
Soma Kutoka 8