Kutoka 9:1
Kutoka 9:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ndipo BWANA akamwambia Musa, Ingia wewe kwa Farao, umwambie, BWANA, Mungu wa Waebrania, yuasema, Wape ruhusa watu wangu ili waende wanitumikie.
Shirikisha
Soma Kutoka 9Kutoka 9:1 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ndipo BWANA akamwambia Mose, “Nenda kwa Farao ukamwambie, ‘Hili ndilo BWANA, Mungu wa Waebrania asemalo: “Waachie watu wangu waende ili wapate kuniabudu.”
Shirikisha
Soma Kutoka 9