Kutoka 9:15
Kutoka 9:15 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Kwa kuwa wakati huu ningekwisha kuunyosha mkono wangu, na kukupiga wewe na watu wako, kwa tauni, nawe ungekatiliwa mbali na kuondolewa katika nchi
Shirikisha
Soma Kutoka 9Kutoka 9:15 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kwa kuwa mpaka sasa ningelikuwa nimenyoosha mkono wangu na kukupiga wewe na watu wako kwa pigo ambalo lingekufutilia mbali juu ya nchi.
Shirikisha
Soma Kutoka 9