Kutoka 9:16
Kutoka 9:16 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
lakini, nilikusimamisha wewe kwa sababu hii hii, ili nikuonyeshe uweza wangu, tena kwamba jina langu litangazwe katika dunia yote.
Shirikisha
Soma Kutoka 9Kutoka 9:16 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Lakini nimekuinua wewe kwa kusudi hili hasa, ili nipate kukuonyesha uwezo wangu, na ili Jina langu lipate kutangazwa duniani yote.
Shirikisha
Soma Kutoka 9