Ezekieli 11:17
Ezekieli 11:17 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi nena, Bwana MUNGU asema hivi; Nitawakusanya ninyi toka kati ya kabila za watu, na kuwakutanisha toka nchi zile mlizotawanyika, nami nitawapeni nchi ya Israeli.
Shirikisha
Soma Ezekieli 11Ezekieli 11:17 Biblia Habari Njema (BHN)
“Basi, waambie kuwa mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nasema hivi: Nitawakusanya toka miongoni mwa watu mnakokaa. Nitawakusanya kutoka nchi ambako mlitawanywa. Nitawarudisha nchini Israeli.
Shirikisha
Soma Ezekieli 11