Ezekieli 11:19
Ezekieli 11:19 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nami nitawapa moyo mmoja, nami nitatia roho mpya ndani yao; nami nitauondoa moyo wa kijiwe katika miili yao, nami nitawapa moyo wa nyama
Shirikisha
Soma Ezekieli 11Ezekieli 11:19 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Nitawapa moyo mmoja na kuweka roho mpya ndani yao, nitaondoa kutoka ndani yao moyo wa jiwe na kuwapa moyo wa nyama.
Shirikisha
Soma Ezekieli 11