Ezekieli 12:25
Ezekieli 12:25 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Maana mimi ni BWANA; mimi nitanena, na neno lile nitakalolinena litatimizwa; wala halitakawilishwa tena; maana katika siku zenu, Ewe nyumba iliyoasi, nitalinena neno hilo na kulitimiza, asema Bwana MUNGU.
Shirikisha
Soma Ezekieli 12Ezekieli 12:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi Mwenyezi-Mungu mwenyewe nitatangaza yatakayotukia. Nayo yatatukia bila kukawia. Wakati wa uhai wenu, enyi watu waasi, neno nitakalotamka nitalitimiza. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Shirikisha
Soma Ezekieli 12