Ezekieli 15:7
Ezekieli 15:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nami nitaukaza uso wangu juu yao; nao watatoka motoni, lakini moto utawateketeza; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, nitakapoukaza uso wangu juu yao.
Shirikisha
Soma Ezekieli 15Ezekieli 15:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitawakabili vikali. Hata kama wataukimbia moto, huo moto utawateketeza. Hapo nitakapowakabili vikali, ndipo mtakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Ezekieli 15