Ezekieli 17:24
Ezekieli 17:24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na miti yote ya mashamba itajua ya kuwa mimi, BWANA, nimeushusha chini mti mrefu, na kuuinua mti mfupi, na kuukausha mti mbichi, na kuusitawisha mti mkavu; mimi, BWANA, nimenena, nami nimelitenda jambo hili.
Shirikisha
Soma Ezekieli 17Ezekieli 17:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndipo miti yote nchini itajua kuwa mimi Mwenyezi-Mungu huiporomosha miti mirefu na kuikuza miti mifupi. Mimi hukausha miti mibichi na kustawisha miti mikavu. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema hayo na nitayafanya.”
Shirikisha
Soma Ezekieli 17