Ezekieli 18:9
Ezekieli 18:9 Biblia Habari Njema (BHN)
kama anafuata kanuni zangu na kutii sheria zangu kwa dhati, mtu huyo ndiye mwadilifu; naye hakika ataishi. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.
Shirikisha
Soma Ezekieli 18Ezekieli 18:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
tena ikiwa amezifuata sheria zangu, na kuzishika hukumu zangu; mtu huyu ni mwenye haki; hakika ataishi, asema Bwana MUNGU.
Shirikisha
Soma Ezekieli 18