Ezekieli 20:20
Ezekieli 20:20 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
zitakaseni sabato zangu; zitakuwa ishara kati ya mimi na ninyi, mpate kujua ya kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.
Shirikisha
Soma Ezekieli 20Ezekieli 20:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Fanyeni Sabato zangu kuwa takatifu, ili ziwe ishara ya agano langu nanyi. Hizo zitawakumbusha kuwa mimi Mwenyezi-Mungu ni Mungu wenu.’
Shirikisha
Soma Ezekieli 20