Ezekieli 21:27
Ezekieli 21:27 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nitakipindua, nitakipindua, nitakipindua; hiki nacho hakitakuwa tena, hata atakapokuja yeye ambaye ni haki yake; nami nitampa.
Shirikisha
Soma Ezekieli 21Ezekieli 21:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Uharibifu! Uharibifu! Hamna chochote katika mji huu nitakachosaza. Lakini kabla ya hayo atakuja yule ambaye nimempa mamlaka ya kuuadhibu, ambaye mimi nitampa mji huo.
Shirikisha
Soma Ezekieli 21