Ezekieli 22:30
Ezekieli 22:30 Biblia Habari Njema (BHN)
Nilitafuta miongoni mwao mtu mmoja atengeneze ukuta na kusimama juu ya mahali palipobomoka mbele yangu, ili ailinde nchi na kunizuia nisiiharibu, lakini sikumpata hata mmoja.
Shirikisha
Soma Ezekieli 22Ezekieli 22:30 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nikatafuta mtu miongoni mwao, atakayelitengeneza boma, na kusimama mbele zangu mahali palipobomoka, kwa ajili ya nchi, nisije nikaiharibu, lakini sikuona mtu.
Shirikisha
Soma Ezekieli 22