Ezekieli 23:49
Ezekieli 23:49 Biblia Habari Njema (BHN)
Na nyinyi Ohola na Oholiba, mtaadhibiwa kutokana na uzinzi wenu na dhambi yenu ya kuziabudu sanamu za miungu. Hapo ndipo mtakapotambua kuwa mimi ni Bwana Mwenyezi-Mungu.”
Shirikisha
Soma Ezekieli 23Ezekieli 23:49 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nao watawalipa ninyi malipo ya uasherati wenu, nanyi mtachukua dhambi za vinyago vyenu; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi Bwana MUNGU.
Shirikisha
Soma Ezekieli 23