Ezekieli 24:14
Ezekieli 24:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema. Jambo hilo litakamilika; mimi nitalitenda. Sitaghairi jambo hilo wala kukuonea huruma. Nitakuadhibu kulingana na mwenendo na matendo yako. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.”
Shirikisha
Soma Ezekieli 24Ezekieli 24:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mimi, BWANA, nimenena neno hili, nalo litakuwa; nami nitalifanya; sitaachilia, wala sitahurumia, wala sitajuta; kulingana na njia zako, na kulingana na matendo yako, ndivyo watakavyokuhukumu, asema Bwana MUNGU.
Shirikisha
Soma Ezekieli 24