Ezekieli 34:15
Ezekieli 34:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi mwenyewe nitakuwa mchungaji wa kondoo wangu. Mimi mwenyewe nitawapumzisha. Mimi Bwana Mwenyezi-Mungu nimesema.
Shirikisha
Soma Ezekieli 34Ezekieli 34:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mimi mwenyewe nitawalisha kondoo wangu, nami nitawalaza, asema Bwana MUNGU.
Shirikisha
Soma Ezekieli 34