Ezekieli 36:26
Ezekieli 36:26 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitawapeni moyo mpya na kuweka roho mpya ndani yenu. Nitauondoa kwenu moyo mgumu kama jiwe na kuwapa moyo wa utii.
Shirikisha
Soma Ezekieli 36Ezekieli 36:26 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nitawapa ninyi moyo mpya, nami nitatia roho mpya ndani yenu, nami nitatoa moyo wa jiwe uliomo ndani ya mwili wenu, nami nitawapa moyo wa nyama.
Shirikisha
Soma Ezekieli 36