Ezekieli 36:28
Ezekieli 36:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtakaa katika nchi niliyowapa wazee wenu. Mtakuwa watu wangu, nami nitakuwa Mungu wenu.
Shirikisha
Soma Ezekieli 36Ezekieli 36:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nanyi mtakaa katika nchi ile niliyowapa baba zenu, nanyi mtakuwa watu wangu, nami nitakuwa Mungu wenu.
Shirikisha
Soma Ezekieli 36