Ezekieli 37:4-5
Ezekieli 37:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Naye akaniambia, “Toa unabii juu ya mifupa hii. Iambie hivi: Enyi mifupa mikavu, sikilizeni neno la Mwenyezi-Mungu. Bwana Mwenyezi-Mungu awaambia hivi: Nitaifanya pumzi iwaingie, nanyi mtaishi.
Shirikisha
Soma Ezekieli 37Ezekieli 37:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akaniambia tena, Toa unabii juu ya mifupa hii, uiambie, Enyi mifupa mikavu, lisikieni neno la BWANA. Bwana MUNGU aiambia mifupa hii maneno haya; Tazama, nitatia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi.
Shirikisha
Soma Ezekieli 37