Ezekieli 5:9
Ezekieli 5:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Kutokana na machukizo yenu yote nitawaadhibu kwa adhabu ambayo sijapata kuwapeni na ambayo sitairudia tena.
Shirikisha
Soma Ezekieli 5Ezekieli 5:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nitakutenda nisiyoyatenda zamani, wala sitafanya tena mambo kama hayo, kwa sababu ya machukizo yako yote.
Shirikisha
Soma Ezekieli 5