Ezekieli 7:27
Ezekieli 7:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Mfalme ataomboleza, mkuu atakata tamaa na watu watatetemeka kwa hofu. Nitawatenda kadiri ya mienendo yao, nitawahukumu kama nilivyowahukumu wengine. Ndipo watakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.”
Shirikisha
Soma Ezekieli 7Ezekieli 7:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mfalme ataomboleza, na mkuu atavikwa ukiwa, na mikono ya watu wa nchi itataabika; nitawatenda kulingana na njia yao; nami nitawahukumu kulingana na kustahili kwao; nao watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA.
Shirikisha
Soma Ezekieli 7