Ezekieli 7:4
Ezekieli 7:4 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Jicho langu halitakuachilia, wala sitaona huruma; bali nitakupatiliza njia zako, na machukizo yako yatakuwa katikati yako; nanyi mtajua ya kuwa mimi ndimi BWANA.
Shirikisha
Soma Ezekieli 7Ezekieli 7:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Sitawaachia wala sitawahurumia; nitawaadhibu kulingana na mienendo yenu, maadamu machukizo bado yapo kati yenu. Ndipo mtakapotambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Ezekieli 7