Ezekieli 7:9
Ezekieli 7:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Sitawaachilia wala sitawaonea huruma. Nitawaadhibu kulingana na mienendo yenu maadamu machukizo yapo bado miongoni mwenu. Ndipo mtakapotambua kuwa ni mimi Mwenyezi-Mungu ninayewaangamiza.
Shirikisha
Soma Ezekieli 7Ezekieli 7:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Jicho langu halitaachilia, wala sitaona huruma; nitakupatiliza njia zako na machukizo yako yote yatakuwa katikati yako; nanyi mtajua ya kuwa mimi, BWANA, napiga.
Shirikisha
Soma Ezekieli 7