Ezra 4:5
Ezra 4:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Tena waliwahonga maofisa wa serikali ya Persia wawapinge Wayahudi. Waliendelea kufanya hivyo muda wote wa utawala wa Koreshi, mpaka wakati wa utawala wa Dario.
Shirikisha
Soma Ezra 4Ezra 4:5 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Wakaajiri washauri kuwapinga katika kazi yao, nao wakaipinga mipango yao wakati wote wa utawala wa Koreshi mfalme wa Uajemi hadi wakati wa utawala wa Dario mfalme wa Uajemi.
Shirikisha
Soma Ezra 4