Ezra 7:10
Ezra 7:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Ezra alikuwa amejitoa kwa moyo wote kujifunza sheria ya Mwenyezi-Mungu, kuitii na kuwafundisha watu wa Israeli maagizo na amri zake.
Shirikisha
Soma Ezra 7Ezra 7:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana huyo Ezra alikuwa ameuelekeza moyo wake kuitafuta sheria ya BWANA, na kuitenda, na kufundisha maagizo na hukumu katika Israeli.
Shirikisha
Soma Ezra 7