Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wagalatia 3:23 - Linganisha Matoleo Yote

Wagalatia 3:23 BHN (Biblia Habari Njema)

Kabla ya kujaliwa imani, sheria ilitufanya wafungwa, tukingojea imani hiyo ifunuliwe.

Shirikisha
Wagalatia 3 BHN

Wagalatia 3:23 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Lakini kabla ya kuja ile imani tulikuwa tumewekwa chini ya sheria, tumefungwa mpaka ije ile imani itakayofunuliwa.

Shirikisha
Wagalatia 3 SUV

Wagalatia 3:23 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Lakini kabla ya kuja ile imani tulikuwa tumewekwa chini ya sheria, tumefungwa mpaka ije ile imani itakayofunuliwa.

Wagalatia 3:23 NEN (Neno)

Kabla imani hii haijaja tulikuwa tumewekwa chini ya sheria, tumefungwa hadi ile imani ifunuliwe.

Shirikisha
Wagalatia 3 NEN