Wagalatia 3:28
Wagalatia 3:28 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Wala hakuna tena Myahudi au Myunani, mtumwa au mtu huru, mwanaume wala mwanamke, maana nyote mmekuwa wamoja ndani ya Kristo Yesu.
Shirikisha
Soma Wagalatia 3Wagalatia 3:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivyo, hakuna tena tofauti kati ya Myahudi na Mgiriki, mtumwa na mtu huru, mwanamume na mwanamke. Nyote ni kitu kimoja kwa kuungana na Kristo Yesu.
Shirikisha
Soma Wagalatia 3