Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wagalatia 3:9 - Linganisha Matoleo Yote

Wagalatia 3:9 BHN (Biblia Habari Njema)

Basi, wale walio na imani wanabarikiwa pamoja na Abrahamu aliyeamini.

Shirikisha
Wagalatia 3 BHN

Wagalatia 3:9 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Basi hao walio wa imani hubarikiwa pamoja na Ibrahimu aliyekuwa mwenye imani.

Shirikisha
Wagalatia 3 SUV

Wagalatia 3:9 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Basi hao walio wa imani hubarikiwa pamoja na Abrahamu aliyekuwa mwenye imani.

Wagalatia 3:9 NEN (Neno)

Kwa sababu hii, wale wote wanaoamini wanabarikiwa pamoja na Abrahamu, mtu wa imani.

Shirikisha
Wagalatia 3 NEN