Wagalatia 6:8
Wagalatia 6:8 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Apandaye kwa mwili, katika mwili wake atavuna uharibifu, lakini yeye apandaye katika Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele.
Shirikisha
Soma Wagalatia 6Wagalatia 6:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Apandaye katika tamaa za kidunia, atavuna humo uharibifu; lakini akipanda katika Roho, atavuna kutoka kwa Roho uhai wa milele.
Shirikisha
Soma Wagalatia 6