Mwanzo 1:11
Mwanzo 1:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Mungu akasema, “Nchi na ioteshe mimea. Mimea izaayo mbegu, na miti izaayo matunda yenye mbegu.” Ikawa hivyo.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1Mwanzo 1:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akasema, Nchi na itoe majani, mimea itoayo mbegu, na miti ya matunda izaayo matunda kwa jinsi yake, ambao mbegu zake zimo ndani yake, juu ya nchi; ikawa hivyo.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1