Mwanzo 1:16
Mwanzo 1:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Mungu akafanya mianga miwili mikubwa; ule mkubwa utawale mchana na ule mdogo utawale usiku; akafanya na nyota pia.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1Mwanzo 1:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akaumba mianga miwili mikubwa, ule mkubwa utawale mchana, na ule mdogo utawale usiku; akafanya na nyota pia.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1