Mwanzo 1:20
Mwanzo 1:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu akasema, “Maji na yatoe makundi ya viumbe hai na ndege waruke angani.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 1Mwanzo 1:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akasema, Maji na yajawe kwa wingi na viumbe vyenye uhai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1