Mwanzo 1:22
Mwanzo 1:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu akavibariki, akasema, “Zaeni, muongezeke, muyajaze maji ya bahari; nao ndege waongezeke katika nchi.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 1Mwanzo 1:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akavibarikia, akisema, Zaeni, mkaongezeke, mkayajaze maji ya baharini, ndege na wazidi katika nchi.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1