Mwanzo 1:25
Mwanzo 1:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Mungu akafanya aina zote za wanyama wa porini, wanyama wa kufugwa, na viumbe vitambaavyo. Mungu akaona kuwa ni vyema.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1Mwanzo 1:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akaumba aina zote za wanyama wa porini na wa kufugwa na viumbe vyote vitambaavyo nchini; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1