Mwanzo 1:29
Mwanzo 1:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akasema, Tazama, nimewapa kila mmea utoao mbegu, ulio juu ya uso wa nchi yote pia, na kila mti, ambao matunda yake yana mbegu; vitakuwa chakula chenu
Shirikisha
Soma Mwanzo 1Mwanzo 1:29 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mungu akasema, Tazama, nimewapa kila mche utoao mbegu, ulio juu ya uso wa nchi yote pia, na kila mti, ambao matunda yake yana mbegu; vitakuwa ndivyo chakula chenu
Shirikisha
Soma Mwanzo 1