Mwanzo 1:30
Mwanzo 1:30 Biblia Habari Njema (BHN)
Nao wanyama wote duniani, ndege wote wa angani, viumbe vyote vitambaavyo, naam, kila kiumbe chenye uhai, chakula chao kitakuwa majani yote ya mimea.” Ikawa hivyo.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1Mwanzo 1:30 Swahili Revised Union Version (SRUV)
na chakula cha kila mnyama wa nchi, na cha kila ndege wa angani, na cha kila kitu kitambaacho juu ya nchi, chenye uhai; majani yote ya miche, ndiyo chakula chenu; ikawa hivyo.
Shirikisha
Soma Mwanzo 1