Mwanzo 10:9
Mwanzo 10:9 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Alikuwa mwindaji hodari mbele za BWANA. Ndiyo sababu watu husema, “Kama Nimrodi, hodari wa kuwinda mbele za BWANA.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 10Mwanzo 10:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Alikuwa mwindaji shujaa mbele ya Mwenyezi-Mungu, ndiyo maana kuna msemo usemao, “Kama Nimrodi mwindaji shujaa mbele ya Mwenyezi-Mungu.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 10