Mwanzo 11:8
Mwanzo 11:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Hivyo, Mwenyezi-Mungu akawatawanya mahali pote duniani, nao wakaacha kuujenga ule mji.
Shirikisha
Soma Mwanzo 11Mwanzo 11:8 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Hivyo BWANA akawatawanya kutoka mahali pale kwenda katika dunia yote, nao wakaacha kuujenga huo mji.
Shirikisha
Soma Mwanzo 11