Mwanzo 12:4
Mwanzo 12:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Abramu akaenda, kama BWANA alivyomwamuru; Lutu akaenda pamoja naye. Naye Abramu alikuwa mtu wa miaka sabini na mitano alipotoka Harani.
Shirikisha
Soma Mwanzo 12Mwanzo 12:4 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Hivyo Abramu akaondoka kama BWANA alivyokuwa amemwambia; naye Loti akaondoka pamoja naye. Wakati Abramu alipoitwa aondoke Harani, alikuwa na miaka sabini na mitano.
Shirikisha
Soma Mwanzo 12