Mwanzo 13:10
Mwanzo 13:10 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Loti akatazama akaona lile bonde lote la Yordani kuwa lilikuwa na maji tele, kama bustani ya BWANA, kama nchi ya Misri, kuelekea Soari. (Hii ilikuwa kabla BWANA hajaharibu Sodoma na Gomora.)
Shirikisha
Soma Mwanzo 13Mwanzo 13:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Loti akatazama, akaliona bonde la mto Yordani, akaona kuwa lina maji ya kutosha kila mahali, kama bustani ya Mwenyezi-Mungu na kama nchi ya Misri upande wa Soari. (Hii ilikuwa kabla Mwenyezi-Mungu hajaiangamiza miji ya Sodoma na Gomora).
Shirikisha
Soma Mwanzo 13