Mwanzo 13:14
Mwanzo 13:14 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Baada ya Loti kuondoka BWANA akamwambia Abramu, “Ukiwa hapo ulipo, inua macho yako utazame kaskazini na kusini, mashariki na magharibi.
Shirikisha
Soma Mwanzo 13Mwanzo 13:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Baada ya Loti kujitenga na Abramu, Mwenyezi-Mungu akamwambia Abramu, “Angalia toka hapo ulipo utazame pande zote: Kaskazini, Kusini, Mashariki na Magharibi.
Shirikisha
Soma Mwanzo 13