Mwanzo 13:16
Mwanzo 13:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na uzao wako nitaufanya uwe kama mavumbi ya nchi; ikiwa mtu ataweza kuyahesabu mavumbi ya nchi, uzao wako nao utahesabika.
Shirikisha
Soma Mwanzo 13Mwanzo 13:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Wazawa wako nitawafanya wawe wengi wasiohesabika, kama vile mavumbi ya nchi yasivyoweza kuhesabika!
Shirikisha
Soma Mwanzo 13