Mwanzo 13:18
Mwanzo 13:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo, Abramu akangoa hema, akaenda kukaa karibu na mialoni ya Mamre kule Hebroni; huko akamjengea Mwenyezi-Mungu madhabahu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 13Mwanzo 13:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Abramu akahamisha hema yake, akaja na kukaa karibu na mialoni ya Mamre, nayo ni miti iliyoko Hebroni, akamjengea BWANA madhabahu huko.
Shirikisha
Soma Mwanzo 13