Mwanzo 13:8
Mwanzo 13:8 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Hivyo Abramu akamwambia Loti, “Pasiwe na ugomvi wowote kati yangu na wewe, wala kati ya wachungaji wangu na wako, kwa kuwa sisi ni ndugu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 13Mwanzo 13:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Abramu akamwambia Loti, “Kusiwe na mafarakano kati yetu wala kati ya wachungaji wako na wachungaji wangu, kwa sababu sisi ni jamaa moja.
Shirikisha
Soma Mwanzo 13