Mwanzo 14:18-19
Mwanzo 14:18-19 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ndipo Melkizedeki mfalme wa Salemu alipoleta mkate na divai. Alikuwa kuhani wa Mungu Aliye Juu Sana. Naye akambariki Abramu, akisema, “Abarikiwe Abramu na Mungu Aliye Juu Sana, Muumba wa mbingu na nchi.
Shirikisha
Soma Mwanzo 14Mwanzo 14:18-19 Biblia Habari Njema (BHN)
Naye Melkisedeki, mfalme wa mji wa Salemu, ambaye alikuwa kuhani wa Mungu Mkuu, akaleta mkate na divai, akambariki Abramu akisema, “Abramu na abarikiwe na Mungu Mkuu, Muumba mbingu na dunia!
Shirikisha
Soma Mwanzo 14