Mwanzo 15:1
Mwanzo 15:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Baada ya mambo hayo neno la BWANA likamjia Abramu katika njozi, likinena, Usiogope, Abramu, Mimi ni ngao yako, na thawabu yako itakuwa kubwa sana.
Shirikisha
Soma Mwanzo 15Mwanzo 15:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Baada ya mambo hayo neno la BWANA likamjia Abramu katika njozi, likinena, Usiogope, Abramu, Mimi ni ngao yako, na thawabu yako kubwa sana.
Shirikisha
Soma Mwanzo 15