Mwanzo 15:18
Mwanzo 15:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku hiyo, Mwenyezi-Mungu akafanya agano na Abramu akisema, “Wazawa wako ninawapa nchi hii, toka mto wa Misri hadi ule mto mkubwa wa Eufrate
Shirikisha
Soma Mwanzo 15Mwanzo 15:18 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Siku hiyo BWANA akafanya Agano na Abramu, na kumwambia, “Nitawapa wazao wako nchi hii, kuanzia Kijito cha Misri hadi mto ule mkubwa, Frati
Shirikisha
Soma Mwanzo 15