Mwanzo 15:4
Mwanzo 15:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndipo Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Huyu hatakuwa mrithi wako! Mwanao halisi ndiye atakayekuwa mrithi wako.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 15Mwanzo 15:4 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ndipo neno la BWANA lilipomjia: “Mtu huyu hatakuwa mrithi wako, bali mwana atakayetoka katika viuno vyako mwenyewe ndiye atakayekuwa mrithi wako.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 15